Monday, August 12, 2013

DONDOO ZA AFYA

Important Health Tips.
¤ Pokea simu kwa sikio lako la
kushoto.
¤ Usinywe dawa na maji ya baridi.
¤ Usile chakula kizito usiku sana.
¤ Kunywa maji mengi zaidi
asubuhi, na kidogo usiku.
¤ Lala mapema, muda mzuri ni
kuanzia saa 4 mpaka 5 usiku.
Hakikisha unalala angalau masaa
7 kila siku.
¤ Usijilaze mara tu unapomaliza
kula au kunywa dawa. Kaa
kwanza kwa muda fulani.
¤ Usipendelee kupiga au kupokea
simu betri ikiwa chini sana kwani
inatoa mionzi mingi zaidi.
¤ Usipendelee kutumia vinywaji
na chakula cha moto kwenye
vyombo vya plastiki, inachangia
ukuzi wa kansa.

No comments:

Post a Comment