
The Cup!! Je tutashinda???African Nations Cup 2014 London.

H.E Peter Kallaghe Tanzania Ambassador to the UK poses with Team
Tanzania before the start of match at the African Nations Cup 2014

Fahad, Ahmed, Nourah, JwaD & Balozi Kallaghe at the game


Baby Iman & Aney were there to support


With my baby girl Nourah supporting Team Tanzania at the African Nations Cup 2014 London.






My brother Eng Iscandar Abuu and I supporting Team Tanzania at the African Nations Cup 2014 London.


Half Time Team Tanzania at the African Nations Cup 2014 London.

Match ikiendelea

Kama kawaida yangu always supporting others. I was there. Team Tanzania
at the African Nations Cup 2014 London. Japo tumefungwa but kesho
hopefully watafanya vizuri.









Team Tanzania at the African Nations
Cup 2014 London, kesho Jumapili 1 June 2014 watakuwa wanacheza pale West
Ham Memorial Park kuanzia saa 5 asubuhi ambapo Team Zanzibar itacheza
na Sierra Leone pitch 3 & 7 mchana pitch 5.
Team Tanzania Bara itacheza saa 7 mchana na South Africa pitch 4 & saa 11 jioni na Uganda. Karibuni tuwasupport.
#jestinageorgeblog #diasporablogger #teamsupport #sports #football #africacupnations #teamtanzania #tanzaniazalendo #26464 —
No comments:
Post a Comment