Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali akiwa kwenye
gwaride la bendera wakati hafla ya gala dinner ya African Day
iliyofanyika Washington, DC siku ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel ya
Marriott na kuhudhuriwa na watu zaidi ya 2,000. Afriacam day ya mwaka
huu iliandaliwa na Ubalozi wa Tanzania wakishirikiana na Ubalozi wa
Rwanda
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akiwa
kwenye gwaride la bendera wakati wa ufunguzi wa Gala dinner ya African
Day siku ya Jumanne May 27, 2014 katika hotel ya Marriott, Washington,
DC.
Mabalozi wakisimama kwa nyimbo za taifa za Marekani na African Union.
Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mhe. Liberata Mulamula akitoa
hotuba ya kuwakaribisha wageni siku ya Jumanne May 27, 2014 siku ya
African day iliyoadhimishwa Marriott ya Washington, DC.
Balozi wa Rwanda nchini Marekani Mhe.Mathilde Munkanabana nae akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni.
Balozi wa kudumu wa African Union, Mhe. Amina Salum Ali akitoa hotuba.
Meya wa DC, Mhe.Vincent Gray akitoa hotuba.
Meya wa DC, Mhe. Vinceny Gray akimkabidhi hati ya baraza la jiji la
DC Balozi wa kudumu wa African Union, Mhe. Amina Salum Ali ya Jiji la
Washington, DC kutambua rasmi siku ya African Day.
Meya katika picha ya pamoja na waheshimiwa Mabalozi wa Rwanda, Tanzania na African Union.
Mwakilishi wa Serikali ya Marekani Mhe. Linda Thomas Greenfield akitoa hotuba.
kwa piidi bofya hapa
No comments:
Post a Comment